Tunaongeza msisimko hapa M-Bet. Hivi karibuni utapata kufurahia huduma yetu mpya ya Cashback ambapo unacheza, unashinda, na hata ukipoteza, bado utarudishiwa sehemu ya fedha zako. Ni njia yetu ya kukushukuru kwa kuwa sehemu ya mchezo. Kaa tayari maana kounti ya kusherehekea ushindi mkubwa na zawadi zaidi imeanza.